Yanga kuandaa sherehe ya kuwacheka watani (Simba ) ni ukosefu wa kazi, wanayanga puuzeni Hilo Jambo lisilo na mantiki

Yanga kuandaa sherehe ya kuwacheka watani (Simba ) ni ukosefu wa kazi, wanayanga puuzeni Hilo Jambo lisilo na mantiki

Waacheni watu wapate kuuza bidhaa,watu wapate hela kupitia mawazo kama ya Kijana msemaji..
Vinywaji vitauzika na mengine mengi yatafanyika siku hiyo.

Hizo ni fursa kubwa sana.Mambo ni mengi kwa sasa muda mchache.

Arsenal tulisheherekea ubingwa Match ya 10 tu.
Muda huu ukiona match tu nywele zinasimama..
Hakuna kitu hapo aise [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Amezaliwa 1974 kipindi simba wanacheza nusu fainali ya kwanza ya KLABU BINGWA AFRIKA sasa ana utoto gani?????

Sema jamaa alizaliwa NJITI kwahiyo dishi kidogo limeyumba
Aaah oya we jamaa kazaliwa 74 yule?? Acha kamba kaka
 
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.

Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).

Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??

NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.

Nawasilisha.
Ndiyo maana Haji anawachana live kuwa hawana akili,huyu dogo anaichafua brand ya Yanga kwa upuuuzi kama huu
 
Sijawahi kuona Barcelona au Real Madrid ama derby ya za England wakifanya upuuzi Kama huo.

Ally kamwe na kikundi chako mlichodhamiria kukifanya hakika ni ujuha/ umbumbumbu hii haina tofauti na unbiten mwaisho wa siku wachezaji wakapumbazika wakapikwa na timu iliyokua inashika mkia kwenye msimamo wa ligi (ihefu).

Kwa Nini isifanyike hiyo party baada ya kuchukua kombe la shirikisho au baada ya kutolewa??

NALIA NGWENA ( shabiki yanga lialia) siungi napinga wazo la kufanya party ya kumcheka mtani.

Nawasilisha.
Naunga mkono tukio hilo lifanyike tukacheke tuongezee miaka ya kuishi. Bravo Ally Kamwe ni mbunifu. Labda waelimishe watu lengo na madhumuni wa hilo jambo maana uwezo wa kufikiri hutofautiana
 
Asiyependa akae kimya full stop!!, Kwahiyo yanga kuandaa event ya kufurahisha watu iwe ni kuifedhehesha?. Hope Kuna lengo kubwa la hiyo event lakini unatumia njia gani kuwashawishi watu wafike na kupata ulilokusudia?,Sio lazima kila kinachofanywa na club ukipende wewe ase!!.
 
Back
Top Bottom