Yanga kuandaa sherehe ya kuwacheka watani (Simba ) ni ukosefu wa kazi, wanayanga puuzeni Hilo Jambo lisilo na mantiki

Hakuna kitu hapo aise [emoji41]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Amezaliwa 1974 kipindi simba wanacheza nusu fainali ya kwanza ya KLABU BINGWA AFRIKA sasa ana utoto gani?????

Sema jamaa alizaliwa NJITI kwahiyo dishi kidogo limeyumba
Aaah oya we jamaa kazaliwa 74 yule?? Acha kamba kaka
 
Ndiyo maana Haji anawachana live kuwa hawana akili,huyu dogo anaichafua brand ya Yanga kwa upuuuzi kama huu
 
Naunga mkono tukio hilo lifanyike tukacheke tuongezee miaka ya kuishi. Bravo Ally Kamwe ni mbunifu. Labda waelimishe watu lengo na madhumuni wa hilo jambo maana uwezo wa kufikiri hutofautiana
 
Asiyependa akae kimya full stop!!, Kwahiyo yanga kuandaa event ya kufurahisha watu iwe ni kuifedhehesha?. Hope Kuna lengo kubwa la hiyo event lakini unatumia njia gani kuwashawishi watu wafike na kupata ulilokusudia?,Sio lazima kila kinachofanywa na club ukipende wewe ase!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…