Yanga kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia tarehe 22 February

Yanga kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Gor Mahia tarehe 22 February

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mchezo huu utakuwa wa uzinduzi wa uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga, ambao ulikuwa ulikuwa ukihairishwa mara kwa mara mara kutokana na Yanga Kuwa na mchezo minginya CAFCL

Mashabiki wa Kenya wameusubiria mchezo huu Kwa hamu, na uuzaji wa ticket tukianza uwanja utajaa siku hiyo

Yanga ndo timu Bora uwanda huu wa CECAFA na ina mashabiki wengi kutoka ukanda wetu

Inasemekana Yanga amelipwa kiasi cha Dollar 250,000 ili kukubali mwaliko huu
 
Back
Top Bottom