Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
f32b123194724974a523682030cbaa4b_311311913_459797422636890_7242158904177919714_n.jpg

Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
 
Naitakia ushindi Yanga, naamini bado ana nafasi ya kuingia hatua ya makundi.
 
View attachment 2385518

Wakati Al Hilal ikichaka 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
Hpa ndipo tfff inapolemaza ligi ya ndani, Simba na yanga zilitakiwa zicheze hta mechi Moja Kabla ya mechi za kimataifa, lakin utaambiwa timu s au Y wameomba mechi Yao isogezwe kupisha maandaliz Kwa ajili ya mechi Fulani. Huu ni ujinga na uzwazwa tu. Ni kulemaza timu tu.
 
Sikubaliani na huu utaratibu wa kuahirisha mechi,unatengeneza viporo vya kijinga na timu inakosa game fitness
 
YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
View attachment 2385518

Wakati Al Hilal ikichaka 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
"Wakati Al Hilal ikichaka 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga......"

Hivi hata hueleweki eti!
 
Hpa ndipo tfff inapolemaza ligi ya ndani, Simba na yanga zilitakiwa zicheze hta mechi Moja Kabla ya mechi za kimataifa, lakin utaambiwa timu s au Y wameomba mechi Yao isogezwe kupisha maandaliz Kwa ajili ya mechi Fulani. Huu ni ujinga na uzwazwa tu. Ni kulemaza timu tu.
S na Y huwez kukwepa hapo mana timu hizi mbili ndio zinainua soka la bongo utake usitake
 
View attachment 2385518

Wakati Al Hilal ikichaka 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
Ni sehemu ya mazoezi bi chaunabe nadhani Kuna kitu hakiko sawa kwako katika utambuzi wa mambo.
 
Hpa ndipo tfff inapolemaza ligi ya ndani, Simba na yanga zilitakiwa zicheze hta mechi Moja Kabla ya mechi za kimataifa, lakin utaambiwa timu s au Y wameomba mechi Yao isogezwe kupisha maandaliz Kwa ajili ya mechi Fulani. Huu ni ujinga na uzwazwa tu. Ni kulemaza timu tu.
Kabisa unachosema mdau, nimeshangaa yani toka jumapili ya wiki iliopita hadi leo hizi timu zetu hazijacheza mechi yoyote ya ligi? Haiko sawa hata kidogo
 
We unataka wacheze league ili lomalisa na kibu denis waumizwe wakati ni wachezaji tegemezi
 
Mbona hata wewe huwa unakosea mara nyingi tu spelling.Hapa unaonekana umejawa na jazba mpaka ukaamua kutafuta vijimakosa vya spelling
Mwambie arekebishe sasa ili aeleweke. Halafu sina jazba ya aina yoyote ile. Nimemkumbusha tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama ingewezekana wangeomba wacheze hata na simba queen kidogoooo wangenipa matumaini km wangeifunga kwamba watatoboa kwa wasudani
 
Back
Top Bottom