Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

Naitakia ushindi Yanga, naamini bado ana nafasi ya kuingia hatua ya makundi.
 
Hpa ndipo tfff inapolemaza ligi ya ndani, Simba na yanga zilitakiwa zicheze hta mechi Moja Kabla ya mechi za kimataifa, lakin utaambiwa timu s au Y wameomba mechi Yao isogezwe kupisha maandaliz Kwa ajili ya mechi Fulani. Huu ni ujinga na uzwazwa tu. Ni kulemaza timu tu.
 
Sikubaliani na huu utaratibu wa kuahirisha mechi,unatengeneza viporo vya kijinga na timu inakosa game fitness
 
YANGA MKIJA SHIRIKISHO MNAKUTANA NA VIPERS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] HII TIMU INA MIKOSI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
"Wakati Al Hilal ikichaka 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga......"

Hivi hata hueleweki eti!
 
S na Y huwez kukwepa hapo mana timu hizi mbili ndio zinainua soka la bongo utake usitake
 
Ni sehemu ya mazoezi bi chaunabe nadhani Kuna kitu hakiko sawa kwako katika utambuzi wa mambo.
 
Kabisa unachosema mdau, nimeshangaa yani toka jumapili ya wiki iliopita hadi leo hizi timu zetu hazijacheza mechi yoyote ya ligi? Haiko sawa hata kidogo
 
Kabisa unachosema mdau, nimeshangaa yani toka jumapili ya wiki iliopita hadi leo hizi timu zetu hazijacheza mechi yoyote ya ligi? Haiko sawa hata kidogo
We unataka wacheze league ili lomalisa na kibu denis waumizwe wakati ni wachezaji tegemezi
 
Mbona hata wewe huwa unakosea mara nyingi tu spelling.Hapa unaonekana umejawa na jazba mpaka ukaamua kutafuta vijimakosa vya spelling
Mwambie arekebishe sasa ili aeleweke. Halafu sina jazba ya aina yoyote ile. Nimemkumbusha tu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama ingewezekana wangeomba wacheze hata na simba queen kidogoooo wangenipa matumaini km wangeifunga kwamba watatoboa kwa wasudani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…