Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

Hawa ndo waziri wa wizara husika anataka wabebwe na tff kimataifa,tff wanabebaje mandondocha wa kutia aibu nchi!
 
Naitakia ushindi Yanga, naamini bado ana nafasi ya kuingia hatua ya makundi.
Acheni mambo yenu naona sasa yanga mnategemea kufuzu kwa kutumia macho na matumaini kila siku wenzenu wanacheza na team za kujipima nguvu sawa nyinnyi mnang'a g'ania kucheza na useless teams kwa neno la kujiweka fit na sio competition, mkipigwa mnalalamika
 
VIPERS wakipangiwa hivyo hakuna sababu yoyote itakayofanya washindwe kuingia makundi.
 
Yanga 1 green worrier 2
Wanachiiiiiiiiiiì
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…