PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Je ndo siku ya Mwananchi au tutarajie nyingine?View attachment 2685782
Mbona tushaingia kambini kitambo Avic town jombaa!Kambi inawekwa wapi?
Mayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hiviMbona tushaingia kambini kitambo Avic town jombaa!
Mayele tushaamua kumuuza tunachukua b 2 zetu tunaweka kibindon tunasonga mbele, Djuma tunasubiri tu kumpa thankyuu na bangala tunamfikiria ila ana nafasi kubwa kubakia.Mayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hivi
Wote wameondokaMayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hivi
Si pale KibadaKambi inawekwa wapi?
Mayele bado yupo kwenye cabinet ya wazee wanamuwekea vikao badala ya kuweka helaMayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hivi
Hata wakimbizi wana kambiKambi inawekwa wapi?
Mzee wa kuwashwa at your bestMayele bado yupo kwenye cabinet ya wazee wanamuwekea vikao badala ya kuweka hela
Bilion 2 hata rangi yake mnaijua inafananeje?Mayele tushaamua kumuuza tunachukua b 2 zetu tunaweka kibindon tunasonga mbele, Djuma tunasubiri tu kumpa thankyuu na bangala tunamfikiria ila ana nafasi kubwa kubakia.
Tuone hela punguzeni vikaoMzee wa kuwashwa at your best
Mbona kama unaumia mzee!Bilion 2 hata rangi yake mnaijua inafananeje?
Hisia zako tuMbona kama unaumia mzee!
B 2 kibindon alaf tunaenda kutafuta goal machine hapo Angola, Mayele akasome!Hisia zako tu
kambembeleze Mo asikate tamaa , uone hela ni zako?Tuone hela punguzeni vikao
Kuna jamaa anaitwa Depu ni nyokoB 2 kibindon alaf tunaenda kutafuta goal machine hapo Angola, mayele akasome!
Nashangaa wanambembeleza mayele wanini! Kwanza akikutana na timu kubwa huwa anazurura tu uwanjani, ikatafutwe machine huko ndichi alaf ya bei chee tu!Kuna jamaa anaitwa Depu ni nyoko