Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Je ndo siku ya Mwananchi au tutarajie nyingine?
Screenshot_20230712-140205.jpg
 
Yanga hawawezi kuwa na siku yao siku 10 kutoka sasa labda walazimishe tu na sidhani kama watataka tena wacheze na timu itakayowafunga kwenye siku yao. Nadhani wale Big Bullets ndiyo watakuja maana inawezekana hata mama yao atawalipia gharama zao za kuja.
 
Back
Top Bottom