Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

Mayele bado yupo kwenye cabinet ya wazee wanamuwekea vikao badala ya kuweka hela
Mayele wamuachie aisee, mtandao wa timu unakua kwa ku release wachezaji wenye quality kwenda timu kubwa zaidi.
 
Jose Mourinho anasema USAJIRI Bora ni kumbakisha wachezaji Muhimu kikosini.

KUONDOKA kwa NABI.
Kaze.
Benchi la UFUNDI.

Feisal
MAYELE.
JUMA Shaban.
(Bangala)

Hii INAWEZA ikawa ngumu sana Kwa watani.
Kule CLABU BINGWA si MCHEZO.

Jipangeni kisawasawa .

NB.
Ningekuwa KIONGOZI ningeuza mafunguo.
 
B 2 kibindon alaf tunaenda kutafuta goal machine hapo Angola, mayele akasome!
Goal machine kwa bajeti gani?

Hela ya kambi tu ya pre season imewashinda hiyo ya goal machine mnaitolea wapi?
 
Mayele wamuachie aisee, mtandao wa timu unakua kwa ku release wachezaji wenye quality kwenda timu kubwa zaidi.
Hata msipomuachia ni fresh tu cha msingi apewe kile anachokitaka.

Sasa maswala ya kuwekeana vikao visivyoisha ni dalili ya kuishiwa hela na kutaka uhurumiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…