Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kule kule ambako kila mwaka wakiweka tu hiyo kambi, basi makombe yote ya msimu huo yanachukuliwa kibabe.Kambi inawekwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule kule ambako kila mwaka wakiweka tu hiyo kambi, basi makombe yote ya msimu huo yanachukuliwa kibabe.Kambi inawekwa wapi?
Endelea kubishana na wenye timu yaoYanga hawawezi kuwa na siku yao siku 10 kutoka sasa labda walazimishe tu na sidhani kama watataka tena wacheze na timu itakayowafunga kwenye siku yao. Nadhani wale Big Bullets ndiyo watakuja maana inawezekana hata mama yao atawalipia gharama zao za kuja.
Vikao ni muhimu. Maana viongozi wetu hawataki kukata tamaa kupitia akaunti zao za twitter.Tuone hela punguzeni vikao
Mayele wamuachie aisee, mtandao wa timu unakua kwa ku release wachezaji wenye quality kwenda timu kubwa zaidi.Mayele bado yupo kwenye cabinet ya wazee wanamuwekea vikao badala ya kuweka hela
Unaishi dunia ya wapi mwenzetu mpaka leo bado unapata taarifa zako kupitia magazeti!Mayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hivi
Hawa ndio wanao shida kwenye vijiwe vya magazeti na kahawa bila kumsahau popoma mkuuUnaishi dunia ya wapi mwenzetu mpaka leo bado unapata taarifa zako kupitia magazeti!
Goal machine kwa bajeti gani?B 2 kibindon alaf tunaenda kutafuta goal machine hapo Angola, mayele akasome!
Ile tweet kumbe bado ina spin kwenye vichwa vyenu mpaka muda huu?kambembeleze Mo asikate tamaa , uone hela ni zako?
Mi najua Depu ni kifupi cha deputivo de utopolo.Kuna jamaa anaitwa Depu ni nyoko
Eleweni mahitaji ya mchezaji ni mshahara mrefu sio wingi wa vikao kama baraza la wazeeVikao ni muhimu. Maana viongozi wetu hawataki kukata tamaa kupitia akaunti zao za twitter.
Hata msipomuachia ni fresh tu cha msingi apewe kile anachokitaka.Mayele wamuachie aisee, mtandao wa timu unakua kwa ku release wachezaji wenye quality kwenda timu kubwa zaidi.
Kwenye uwanja huu huu uliofungiwa hadi wakapeleka ngao ya jamii Tanga?Endelea kubishana na wenye timu yaoView attachment 2685846
Kwani mwanzo alitoa nani?Tuone hela punguzeni vikao
Mwanzo ilikuwa ndogo ilikiwa katika uwezo wenu hii ya saizi ni kubwaKwani mwanzo alitoa nani?
Kwanini ya sasa hivi iwe kubwa?Mwanzo ilikuwa ndogo ilikiwa katika uwezo wenu hii ya saizi ni kubwa
Ndio kikao kina jadili swali hiloKwanini ya sasa hivi iwe kubwa?
Uwanja umefungiwa na nani ??? Na unaijua sabb ya kupeleka ngao ya jamii tanga ???Kwenye uwanja huu huu uliofungiwa hadi wakapeleka ngao ya jamii Tanga?