Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

Uwanja umefungiwa na nani ??? Na unaijua sabb ya kupeleka ngao ya jamii tanga ???
Usijitoe ufahamu dogo, uwanja umefungiwa kwa sababu ya matengenezo na ndiyo sababu ya kupeleka ngao Tanga, bila hivyo fainali ingepigwa pale. Nitashangaa sana kama watawaruhusu kutumia uwanja ule kipindi hiki.
 
Yanga mechi zake za kimataifa alikua anachezea uwanja gani ???
 
Halafu una hoja ya msingi yani sikufikiria kabisa angle hiyo

Tena nilimsikia Karia mwenyewe akitoa kauli hiyo.

So hapo Gongowazi labda waende Chamazi
 
Uwanja kwa saizi upo kwenye matengenezo na ndio sababu ya kupeleka mechi ya ngao ya jamii Tanga.

Tena vuwanja vyote viwili, Mkapa na Uhuru.

Kwa tamasha la Gongowazi sidhani kuna kiwanja chochote ambacho kitafaa kufanya sherehe zao nje na hivyo viwili.
 
Halafu una hoja ya msingi yani sikufikiria kabisa angle hiyo

Tena nilimsikia Karia mwenyewe akitoa kauli hiyo.

So hapo Gongowazi labda waende Chamazi
Nitashangaa sana kama wataruhusiwa. Labda kwa kuwa matengenezo yanaihusu Simba zaidi walazimishe kutibua taratibu za matengenezo. Wakiruhusiwa, fainali ya ngao itabidi irudishwe Dar.
 
Kwahyo unahis viongozi wa yanga ni mapopoma kama wewe? Hadi waseme venue na wanajua hawawezi kuitunia?! Kendlessy

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ratiba mwaka huu timu zote vulu vulu, ngao ya jamii tarehe 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…