ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mtapata wapi akili kila siku mnatishiwa kuachikaMi najua Depu ni kifupi cha deputivo de utopolo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapata wapi akili kila siku mnatishiwa kuachikaMi najua Depu ni kifupi cha deputivo de utopolo.
Kambembeleze tajiri utalala njaaEleweni mahitaji ya mchezaji ni mshahara mrefu sio wingi wa vikao kama baraza la wazee
Kwani lini tulikuambia tupo kwenye mchakato wa kutafuta akili?Mtapata wapi akili kila siku mnatishiwa kuachika
Yale yalikuwa ni maneno dedicated kwenuKambembeleze tajiri utalala njaa
Usijitoe ufahamu dogo, uwanja umefungiwa kwa sababu ya matengenezo na ndiyo sababu ya kupeleka ngao Tanga, bila hivyo fainali ingepigwa pale. Nitashangaa sana kama watawaruhusu kutumia uwanja ule kipindi hiki.Uwanja umefungiwa na nani ??? Na unaijua sabb ya kupeleka ngao ya jamii tanga ???
Yanga mechi zake za kimataifa alikua anachezea uwanja gani ???Usijitoe ufahamu dogo, uwanja umefungiwa kwa sababu ya matengenezo na ndiyo sababu ya kupeleka ngao Tanga, bila hivyo fainali ingepigwa pale. Nitashangaa sana kama watawaruhusu kutumia uwanja ule kipindi hiki.
Halafu una hoja ya msingi yani sikufikiria kabisa angle hiyoUsijitoe ufahamu dogo, uwanja umefungiwa kwa sababu ya matengenezo na ndiyo sababu ya kupeleka ngao Tanga, bila hivyo fainali ingepigwa pale. Nitashangaa sana kama watawaruhusu kutumia uwanja ule kipindi hiki.
Uwanja kwa saizi upo kwenye matengenezo na ndio sababu ya kupeleka mechi ya ngao ya jamii Tanga.Yanga mechi zake za kimataifa alikua anachezea uwanja gani ???
Nitashangaa sana kama wataruhusiwa. Labda kwa kuwa matengenezo yanaihusu Simba zaidi walazimishe kutibua taratibu za matengenezo. Wakiruhusiwa, fainali ya ngao itabidi irudishwe Dar.Halafu una hoja ya msingi yani sikufikiria kabisa angle hiyo
Tena nilimsikia Karia mwenyewe akitoa kauli hiyo.
So hapo Gongowazi labda waende Chamazi
Kwahyo unahis viongozi wa yanga ni mapopoma kama wewe? Hadi waseme venue na wanajua hawawezi kuitunia?! KendlessyNitashangaa sana kama wataruhusiwa. Labda kwa kuwa matengenezo yanaihusu Simba zaidi walazimishe kutibua taratibu za matengenezo. Wakiruhusiwa, fainali ya ngao itabidi irudishwe Dar.
Na ni mapopoma kweli wala haujakoseaKwahyo unahis viongozi wa yanga ni mapopoma kama wewe? Hadi waseme venue na wanajua hawawezi kuitunia?! Kendlessy
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Walete usumbufu wakati wana mikataba? Bado unasoma gazetiMayele yumo? Djuma na Bangala nao je? Maana nikisoma magazeti, naona kama vile wanaleta usumbufu hivi
Mbona wenye jezi chafu chafu za njano ndio huwa wanaongoza kuzunguka meza za magazeti?Unaishi dunia ya wapi mwenzetu mpaka leo bado unapata taarifa zako kupitia magazeti!
Sio kwa Mkude na Kibabage. Ila tajiri anazingua aiseeKule kule ambako kila mwaka wakiweka tu hiyo kambi, basi makombe yote ya msimu huo yanachukuliwa kibabe.
Kwa hiyo wamechagua kambi ipi, Goma kwa akina Mayele?Hata wakimbizi wana kambi
Kwenye matetemekoKwa hiyo wamechagua kambi ipi, Goma kwa akina Mayele?
Matetemeko ya mawimbi ya bahari, avic townKwenye matetemeko
Kwa waongeza makaliomatetemeko ya mawimbi ya bahari, avic town
Ratiba mwaka huu timu zote vulu vulu, ngao ya jamii tarehe 9Yanga hawawezi kuwa na siku yao siku 10 kutoka sasa labda walazimishe tu na sidhani kama watataka tena wacheze na timu itakayowafunga kwenye siku yao. Nadhani wale Big Bullets ndiyo watakuja maana inawezekana hata mama yao atawalipia gharama zao za kuja.