mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya somalia kwa mjibu wa maelezo ya Haji Manara.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua. Ikumbukwe Yanga hawana mechi yoyote ile ya kimataifa kwa musimu huu.
Je, Yanga wataweza kuwagalagaza wasomali hao?
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua. Ikumbukwe Yanga hawana mechi yoyote ile ya kimataifa kwa musimu huu.
Je, Yanga wataweza kuwagalagaza wasomali hao?