mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita , kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya somalia kwa mjibu wa maelezo ya Haji manara .
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mgumu na wa kusisimua.Ikumbukwe , Yanga hawana mechi yoyote ile ya kimataifa kwa musimu huu.
Je , Yanga wataweza kuwagalagaza wasomali hao?
Unajua mashabiki wengi wa yanga hawana taarifa kuwa timu yao inakipiga kwenye hii weekend?
Mawazo yao yote yako kwa simba na berkane jumapili, na ndio maana walianza kuwapokea berkane na kuwasahau wageni wao wasomali
Afu sijajua mechi yao inachezwa muda gani ila utakuta nao wameiweka mchana kama kikwazo ili kuwakomoa wasomali wasipate upinzani mkali
Yote kwa yote naitakia yanga ushindi dhidi ya mechi hiyo, na hiyo ndio itakuwa kipimo cha kuwajuza wana timu ya namna gani kwenye level za kimataifa though sijajua somali wanaupinzani wa namna gani
Sisi ni next level, mnatuhitaji sisi ili mjulikane kimataifaSimba naskia mnamuwania Hamis Kiiza awasaidie kwenye mechi za Shirikisho baada kutupwa nje Klabu bingwa
Kamwambie hii round sio ya kugeuza shavu, itakuwa worst kuliko ile ya kimbariSimba nao wameoΓ±a wacheze mechi ya kirafiki na Mbeya city kwa sharti la Paul Nonga kutojumuishwa kikosini
Naona unalenga kupotezea ishu ya Rivers utd. Lakini ukumbuke tu kwamba hiyo ni rekodi ilishawekwa na haitafutika katika vichwa vya kizazi hiki na kijachoSimba naskia mnamuwania Hamis Kiiza awasaidie kwenye mechi za Shirikisho baada kutupwa nje Klabu bingwa
vipi record ya Galaxy isha vujwa?Naona unalenga kupotezea ishu ya Rivers utd. Lakini ukumbuke tu kwamba hiyo ni rekodi ilishawekwa na haitafutika katika vichwa vya kizazi hiki na kijacho
Kumbuka hata galax alifungwa kwao 2, 0 na simba . Na ukitafuta idadi ya magoli ya kufungana ni 3 , 3 tofauti na Yanga 2, 0 tena nyumbani na ugenini kwa rivers utdvipi record ya Galaxy isha vujwa?
Hapana mkuu . Hii Habari haijaandikwa kishabiki kama unavyofikiria. Imeandikwa kwa kufuata taratibu zote za ki u Wana michezo kwa maslahi mapana ya soka la TzJamaa umeandika kimaandazi sana,, kwanza we ulete taarifa hii ni kama nani wakati ww ni Kolo tu kama Makolo wenzio.
Sasa tunawaambia mechi ya Yanga inaenda kusimamisha nchi zaidi ya hyo kimeo chenu mnachoenda kuinamisha tena kwa mara ya pili..
Mara ya mwisho Yanga kucheza mechi za kimataifa ni septemba 2021 . Kwahiyo sitoshangaa Yanga kusimamisha nchi.Jamaa umeandika kimaandazi sana,, kwanza we ulete taarifa hii ni kama nani wakati ww ni Kolo tu kama Makolo wenzio.
Sasa tunawaambia mechi ya Yanga inaenda kusimamisha nchi zaidi ya hyo kimeo chenu mnachoenda kuinamisha tena kwa mara ya pili..
ule urafiki wao na sevilla uliishia wapi maana kila mpinzani wa simba kimataifa wanalazimisha urafikiSisi ni next level, mnatuhitaji sisi ili mjulikane kimataifa
We dont need you but you need us
Huko ulaya wanajua east africa kuna timu moja ya mpira, the rest ni vikundi vya wahuni tu
ASEC naskia waliwa kataa mapema wakasema hawana shabiki kwenye nchi hiiule urafiki wao na sevilla uliishia wapi maana kila mpinzani wa simba kimataifa wanalazimisha urafiki
We acha tuUpuuzi tu huko utopoloni. Somalia? Bora wangeomba mechi na timu ya kombaini ya Mkoa wa Simiyu