Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

Wale wachunga ng'ombe wa mayele wanaaibisha taifa jumapili
Lakini airport ulienda kuwapokea wageni? Isijekuwa unapiga madomo tu hapa wakati hata jukumu lako ulilopangiwa hujatimiza
 
Sisi ni next level, mnatuhitaji sisi ili mjulikane kimataifa

We dont need you but you need us

Huko ulaya wanajua east africa kuna timu moja ya mpira, the rest ni vikundi vya wahuni tu
Kolo, ulaya ya wapi?
 
Somalia wako vitani full time mda wa kicheza hawana
 
Sijawahi skia Mechi ya Kirafiki ya Timu ya Taifa Vs Klabu. Kumbe labda mimi bado mchanga kwenye soka, eti Chelsea dhidi ya Timu ya Taifa la Poland😂😂😂
 
Sijawahi skia Mechi ya Kirafiki ya Timu ya Taifa Vs Klabu. Kumbe labda mimi bado mchanga kwenye soka, eti Chelsea dhidi ya Timu ya Taifa la Poland[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu , historia inatafutwa kwa nguvu kwamba tuliwahi kuifunga timu ya taifa ya somalia 10 bila majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…