YANGA: Kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji

Viongozi wa yanga wanacheza mchezo mzuri sana, just ku buy time kutuliza na kufariji mashabiki hakuna jipya hapo hiyo story yao ya kitabu itaenda mwaka mmoja baada ya hapo watakuja na kingine mpaka wamalize muda wao wasepe, na stori itabaki hiyohiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye picha naona wachezaji wa Yanga ila background kuna Simba.

Daima mbele nyuma kuna mwiko[emoji1787]

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Hilo picha la mauaji ya tarehe 8 Machi 2020.
Picha imewekwa makusudi kukumbushia tarehe 8,yaani wananchi tukiingia kwenye mabadiliko picha kama hizo zitakuwa nyingi,ipo siku mtavaa mijezi yenu huku mnashangilia timu ya wananchi kwa kandanda safi itakayokuwa inapigwa.
Asante GSM bila wewe mikia wangeendelea kutunyanyasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko yatakayofanyika pale Yanga yatawaumbua mo na mikia wote
 
Huyu ndio mbumbumbu kweli yaani mtu achapishe kitabu halafu atoe bure hizi akili za wapi badala ya kumwambia mwekezaji wao aweke mzigo mezani wa b20 kabaki kupiga chenga
 
nilikua nasikia wananchi wanalalama "hatumtaki Msola, yeye ni Simba kabisa"[emoji16][emoji16]



"Not everything is for everybody"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…