Viongozi wa yanga wanacheza mchezo mzuri sana, just ku buy time kutuliza na kufariji mashabiki hakuna jipya hapo hiyo story yao ya kitabu itaenda mwaka mmoja baada ya hapo watakuja na kingine mpaka wamalize muda wao wasepe, na stori itabaki hiyohiyo.Hata mimi nakitaka hicho kitabu ili nipate elimu ya uwekezaji ni nini pengine na mimi naweza nikaja kuwa na hisa ndani ya hizo 51 za wanachama.Nyie watu wa simba endeleni kupinga tu wakati hamjui hili wala lie juu ya uwekezaji na hamjui mchakato mzima una face ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app