Yanga kufika nusu fainali Klabu Bingwa Afrika 2022/23?

Mechi ya kwanza tu mnapangiwa na timu za uarabuni na safari yenu inaishia hapo. Poleni sana. Asanteni kwa kuja
 
Mbona fainali aliyocheza Simba dhidi ya stella abdjan hujaweka kama ni deni kwa utopolo?
kwanza fainali na stella haikuwa klabu bingwa, ilikuwa ni fainali ya kikombe kimoja kilichozuka miaka ya 1990's kiliitwa CAF CUP, Caf Cup ilizidiwa hadhi na klabu bingwa na kombe la washindi barani afrika na pia haikuwa 1974 hebu soma makala kwa makini
 
Malengo ni Ubingwa.

Nusu fainali au Robo fainali ni Malengo ya timu ndogo.
Hakuna timu inaweza kuchukua ubingwa ikiwa na averagevya umri wa wachezaji wa miaka 28.5. HAKUNA.
 
Kufika nusu fainali siyo matako kuwa kila mtu anayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…