kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi.
Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki ya wanayanga.
Nadhani wachezaji watakuwa makini kumsikiliza mwalimu ili kuepuka aibu kama Ile isiwakute kwenye mechi za mashindano. Kama wangeifunga Zanaco wangebweteja.