Tutaona Tarehe 25/9 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.Kati ya Yanga na Simba nani kaunganika vizuri.Zimebaki takribani wiki 3,Muda utasema manake mmezidi kuwa na makelele,tumewachoka mtaufyaya muda si mrefuYanga walifungwa kwasababu uwezo wao ni mdogo sana. Zanaco sio wapolepole.
kocha Nabi amesema muunganiko ni mpaka miezi mitatu.
Mechi ya Kigoma maneno yalikuwa hayhaya kabla ya mechi kuanza.Tutaona Tarehe 25/9 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.Kati ya Yanga na Simba nani kaunganika vizuri.Zimebaki takribani wiki 3,Muda utasema manake mmezidi kuwa na makelele,tumewachoka mtaufyaya muda si mrefu
Kocha Nabi kasema muunganiko wa timu bado mpaka ipite miezi mitatu.Tutaona Tarehe 25/9 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.Kati ya Yanga na Simba nani kaunganika vizuri.Zimebaki takribani wiki 3,Muda utasema manake mmezidi kuwa na makelele,tumewachoka mtaufyaya muda si mrefu
Huamini maneno ya kocha wako? Amesema Yanga kuunganika ni baada ya siku 90Tutaona Tarehe 25/9 kwenye mechi ya Ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba nani kaunganika vizuri..