Yanga: kuifundisha Simba jinsi ya kushinda popote

Hiko ndicho kilichobaki!? Kwa hiyo Simba ajifunze kufungwa hatua ya awali klabu bingwa ili aangukie shirikisho akacheze na KMC na Biashara za Uarabuni!?
 
Safi sana
 
Mnafarijiana sana baada ya kupoteza pole mmelowaaq
 
Inabidi timu zijiwekeze,kushinda kote,Yanga angeshinda Dar ubingwa ungekuwa ni wake,ushindi wa away unakuwa hauna maana kama haukupi kitu.

Yanga pia ina cha kujifunza kutoka kwa Simba kwa kuwa na uhakika wa kushinda mechi za nyumbani walau kwa 80%
 
Kuna U-TURN mpaka unajiuliza inawezekanaje?

Imagine kutoka kuwa wa kwanza kuleta kombe nchini mpaka kushinda ugenini. Sijui ni yale mafataki yapo vichwani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: Tsh
Wewe limbukeni hunashabikia wachawi
Badilika kijana hizii sik zama za khchawi

Wewe kombe liko wapi msimu huu..
Hivi mliopoanza msimu mlienda wapi na wapi kuweka kambi??
Wewe usiyejua tofauti kati ya CUF na CAF ni kilaza,mshamba na limbukeni mkubwa hata watopolo wenzako wanakucheka.
 
Hiko ndicho kilichobaki!? Kwa hiyo Simba ajifunze kufungwa hatua ya awali klabu bingwa ili aangukie shirikisho akacheze na KMC na Biashara za Uarabuni!?
Hapana mkuu... wajifunze kushinda ugenini Kwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…