Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko ndicho kilichobaki!? Kwa hiyo Simba ajifunze kufungwa hatua ya awali klabu bingwa ili aangukie shirikisho akacheze na KMC na Biashara za Uarabuni!?"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti
1. 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 [emoji1250]
2. 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 [emoji1078]
3. 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜[emoji1221]
4. 𝗡𝗜𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 [emoji1184]
5. 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔[emoji1026]
Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaàa!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa
#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Safi sana"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU

Ulimbukeni nao ni kipajiSafi sana
Mnafarijiana sana baada ya kupoteza pole mmelowaaq"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti
1. 𝗧𝗨𝗡𝗜𝗦𝗜𝗔 [emoji1250]
2. 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 [emoji1078]
3. 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗡𝗜[emoji1221]
4. 𝗡𝗜𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 [emoji1184]
5. 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔[emoji1026]
Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaàa!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa
#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPMView attachment 2645427
Wewe limbukeni hunashabikia wachawiUlimbukeni nao ni kipaji
Wewe kombe liko wapi msimu huu..Mnafarijiana sana baada ya kupoteza pole mmelowaaq
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wameshinda afu hawana furahaKushinda halafu kulia sisi hatutaki mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna U-TURN mpaka unajiuliza inawezekanaje?
Imagine kutoka kuwa wa kwanza kuleta kombe nchini mpaka kushinda ugenini. Sijui ni yale mafataki yapo vichwani?

Wewe usiyejua tofauti kati ya CUF na CAF ni kilaza,mshamba na limbukeni mkubwa hata watopolo wenzako wanakucheka.Wewe limbukeni hunashabikia wachawi
Badilika kijana hizii sik zama za khchawi
Wewe kombe liko wapi msimu huu..
Hivi mliopoanza msimu mlienda wapi na wapi kuweka kambi??
We shoga kweli, yaani wakimbie huku hujashinda kombe?Nipo Cairo hapa ......nlivotaja jina la Yanga...... waarabu wamechomoka mbio
Mshamba mama yakoWewe usiyejua tofauti kati ya CUF na CAF ni kilaza,mshamba na limbukeni mkubwa hata watopolo wenzako wanakucheka.