MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu.
Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa.
Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la kawaida ila samaki kumla binadamu ndiyo habari.
Wazee wa ku-bet, wekeni mizigo yenu kwa kujidai, mnyama anachinjwa kwa maandalizi ya sikukuu ya Idd.