Yanga kuingiza mashabiki uwanjani Bure ni ushamba, hamjifunzi madhara yake?

Yanga kuingiza mashabiki uwanjani Bure ni ushamba, hamjifunzi madhara yake?

Acha umbea, utavishwa kanga uolewe.
Ok, naona una uzoevu wa kutosha wa kuvaa kanga, na kuolewa kwa kuwa unajua wanaovaa kanga ndio wanaolewa!!
Hebu taja mahari yako ni kiasi gani, tuyalipe tukuweke ndani upate haki yako ya mkuyenge utulie!
 
Watu wenyewe ni wala mihogo unafikiri wataweza kulipa hata elfu tatu? Bora waingie bure ili uwanja ujae! Au umesahau kuwa wananchi siku zote ni wanyonge wanahitaji kuwezeshwa?
 
Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso!

Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia!

Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha, simu, vitatu, nguo kuchanika n. k!

Kinachouma zaidi wapo mashabiki waliotoka mikoani, wengine nje ya nchi wakiwa na tiketi, lakini wakaambiwa uwanja umejaa wakaangalie mechi vibanda umiza!
Imekuwa ni desturi ya yanga kuingiza mashabiki uwanjani bure, na matokeo yake kuna baadhi ya maafa na uharibifu uliotokea, lakini wala hawajifunzi!

Zipo tetesi zinazoeleza kuwa, kwamba kuingiza mashabiki uwanjani bure ni mojawapo ya masharti ya waganga wao, na kwamba hata madhara yatokanayo ni makafara, hivyo hawaoni shida kwa kuwa hayo mambo yanawafanya wanapata matokeo!

Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
Usiumize kichwa chako. Watu hawakuingia bure, ila kuna tajiri mmoja alinunua tiket zote akasema zigawiwe bure. Uwanja ule siyo mali ya Yanga, inabidi ulipiwe na Yanga pia ipate mapato yake. Labda ungesema kuwa huyo tajiri badala ya kununua ticke zote, awapige foleni wanaozitaka awagawie hela, jambo ambalo halitakuwa na mwonekano mzuri.
 
Mwamedi wafanyakazi wake anawalipa laki 1, unategemea kuna siku ataweza kuingiza mashabiki bure?
 
Kwa haya ni vyema mashabiki wakaamka, vya bure vina gharama, ikibidi wenye dhamana wapige marufuku uingizaji wa mashabiki bure uwanjani, kwani madhara yake ni makubwa, na yanaonekana wazi!
Kuliko kwenda kuumia huko, bora utulie nyumbani uangalie tu kwenye TV.
 
Usiumize kichwa chako. Watu hawakuingia bure, ila kuna tajiri mmoja alinunua tiket zote akasema zigawiwe bure. Uwanja ule siyo mali ya Yanga, inabidi ulipiwe na Yanga pia ipate mapato yake. Labda ungesema kuwa huyo tajiri badala ya kununua ticke zote, awapige foleni wanaozitaka awagawie hela, jambo ambalo halitakuwa na mwonekano mzuri.
Mbona unajichanganya sasa...?
Unasema kuna tajiri alinunua tiketi zote akasema zigawiwe bure, mara watu hawakuingia bure, unajichanganya mno!
 
kwani Dunia kote yanga pekee ake ndio anaingiza mashabiki Bure?, mbona mechi za Azam zilikuwa ni Bure?, Mamelod mechi zao hufanya Bure/jezi nao n washamba au nikutaka full sapoti ya watu?. Afu sula la hili watu wa Simba mnaumia kuliko hata mlivyofungwa na Aly Ahly . GSM kajitolea pesa zake... Wewe kimekuwasha wapi? Sema tuandae mikuyenge tupakune naona huwezi kulala Sasa toka Jana wewe 😅.
Wee jamaa bhana, Yani ina miaka zaidi ya 80 na fanbase ya kutosha unaofananisha na azam au mamelod ambazo hazina hata miaka 30? Halafu kazi kujiits timu kubwa, timu kubwa Gani Haina mashabiki loyal?
 
Pretoria tutaingia bure washabiki wote ninyi wenye roho za korosho na ambao sio washamba endeleeni na Ujanja wenu bhana.
 
Wee jamaa bhana, Yani ina miaka zaidi ya 80 na fanbase ya kutosha unaofananisha na azam au mamelod ambazo hazina hata miaka 30? Halafu kazi kujiits timu kubwa, timu kubwa Gani Haina mashabiki loyal?
Kwani kuchangia ndio ushabiki Royal daah wabongo bhana mnaamini sana katika hela...Timu yeyote inaweza kuamua Washabiki wake wasilipie Tiket hapo Mamelodi pana muda mpaka lishe ya Mac Donald wanachukua bure na kinywaji mpira haupo hivyo ondoeni Dhana za kimasikini hizo..mnawekeana kodi kubwa za magari kuishia kutumia Ist na vipasso...
 
Mbona unajichanganya sasa...?
Unasema kuna tajiri alinunua tiketi zote akasema zigawiwe bure, mara watu hawakuingia bure, unajichanganya mno!
Kwa vile hujui kiswahili ni vigumu kukuelewesha. Tiketi hazitulewa bure zilinunuliwa na mtu mmoja akazigawa kwa washikaji wake. Labda lugha hiyo utaielewa. Bure maana yake ni kuwa hakuna gharama yoyote iliyotumika.

Kama una familia, basi ni kama wewe unavyoweza kununua tiketi tano kwa ajili yako na familia yako, huwezi kusema kuwa familia yako imeingia bure kwa vile wewe ndiye uliyetoa hela.
 
Wee jamaa bhana, Yani ina miaka zaidi ya 80 na fanbase ya kutosha unaofananisha na azam au mamelod ambazo hazina hata miaka 30? Halafu kazi kujiits timu kubwa, timu kubwa Gani Haina mashabiki loyal?
Hujui kitu wewe Mamelod haina miaka 30?. Ilipaswa uwe Tai jike wewe.
 
[emoji28]Utakuwa kijiti kimoja Cha mwarabu hujakisafisha hapo koridoni kwako...., Kuna Sheria insyozuia timu kuingiza watu Bure?. Au muwasho wa kijipelee chako [emoji39].
Hivi unazungumzia kitu gani?
Hiki ukichoandika kinahusiana na huu uzi?
... Bila hiyo miwasho unayozungumzia inakuhusu wewe, kwamba unahitaji kukunwa huko unakowashwa!
Usijali unachokitafuta utakipata, muda si mrefu!!
Na kwa namna unavyojikesha kwa hivyo viemoji vyako, imeshajulikana wewe una vinasaba gani!
 
Pretoria tutaingia bure washabiki wote ninyi wenye roho za korosho na ambao sio washamba endeleeni na Ujanja wenu bhana.
Wezenu wanaingia Bure ila usalama wa mashabiki unazingatiwa sana na pia ni wastarabu sio kama nyiny vyura lazima mvunje mageti mwagie matope uwanja wa uhuru na bila kukupesa inawezekana Jana kuna watu wamevuta
 
Ok, naona una uzoevu wa kutosha wa kuvaa kanga, na kuolewa kwa kuwa unajua wanaovaa kanga ndio wanaolewa!!
Hebu taja mahari yako ni kiasi gani, tuyalipe tukuweke ndani upate haki yako ya mkuyenge utulie!
Unataka tulete mahali kiasi gani mrembo ili usiende kuolewa Uarabuni kule utakuwa unapakwa mafuta ya nazi kwenye njia ya kutolea taka ngumu bora ubaki hapahapa tuendelee kukupiga vitano vitano kwa njia ya kawaida mtoto mzuri.
 
Back
Top Bottom