Kawa kiumbe hatari huyoo halafu huyu yakouba anateleza kama raheem sterlingKasekeeee
Mbona juzi tu tumeambiwa kwamba Yacouba hamna kitu pale?Kawa kiumbe hatari huyoo halafu huyu yakouba anateleza kama raheem sterling
Kabumbu la kututoa machozi hatulitaki na tuliishachoka kuwakilisha tunataka ushindiWacheze leo kesho watulie waone kabumbu la kimataifaa
Manara anasema tulipiee visimbusiii yeye si balozi wa azam😂😂😂Kabumbu la kututoa machozi hatulitaki na tuliishachoka kuwakilisha tunataka ushindi
Viporo !watakuta wenzao wameishamaliza wali subiriniMnajisifu kuizidi Simba points wakati mnajua mnaizidi idadi ya mechi? Subiri warudi wale hivyo viporo vyao ndio muongee
Akishinda vyote na yanga ikipoteza hata mechi moja ndiyo ataongozaKwa hiyo akishinda viporo ataongoza ligi?
Kwani mwaka jana ilikuwaje? Si ilikuwa hivi hivi halafu mnyama alipoanza kuvitafuna mkaja na slogan"wanabebwa"Viporo !watakuta wenzao wameishamaliza wali subirini
[emoji123][emoji123][emoji123]Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika ligi ya mabingwa Africa.