Yanga kuipoteza zaidi Simba leo

Yanga kuipoteza zaidi Simba leo

Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika ligi ya mabingwa Africa.
Utopolo sisi ni moja tu
 
Kwani mwaka jana ilikuwaje? Si ilikuwa hivi hivi halafu mnyama alipoanza kuvitafuna mkaja na slogan"wanabebwa"
Mwaka huu hamna ngoma nyie hata kwa kuchawia hamchukuwi ligi kuu labda ndondo cup...
Wananchi tunatangaza ubingwa mapema....
 
Bado match 10 tu tunatangazwa ubingwa...Shenzi type mikia wote
Dadek yaan kwa ushind huu wa jion kila cku mnawaza na kuchukua ndoo mapema? Kwel nyie ni utopolo haswaa.

Na nikwambie tu simba safar hii hapotez hata mechi moja ,save hii comment ,na nyie utopolo mtapoteza mechi moja tu basi huo ndio utakuwa mwisho wenu maana Simba akikaa kilelen yanga kumtoa Simba pale sahau na hata tukijafanana points jua imekula kwenu jumla maana tuna mvua ya magoli huku nyie mkiwa na matone ya magoli na hilo linakuja muda si mrefu .

Kufikia Christmas Simba itakuwa kileleni kabisa na hakuna simbilisi wa kumtoa hapo had lig inamaoizika
 
Unaota wewe si bure, hebu amka unawe na kusafisha hayo matongotongo machoni mwako.
 
Dadek yaan kwa ushind huu wa jion kila cku mnawaza na kuchukua ndoo mapema? Kwel nyie ni utopolo haswaa.

Na nikwambie tu simba safar hii hapotez hata mechi moja ,save hii comment ,na nyie utopolo mtapoteza mechi moja tu basi huo ndio utakuwa mwisho wenu maana Simba akikaa kilelen yanga kumtoa Simba pale sahau na hata tukijafanana points jua imekula kwenu jumla maana tuna mvua ya magoli huku nyie mkiwa na matone ya magoli na hilo linakuja muda si mrefu .

Kufikia Christmas Simba itakuwa kileleni kabisa na hakuna simbilisi wa kumtoa hapo had lig inamaoizika
Ety ushindi wa join kwan goli limefungwa dkka ya ngapi.. Usiwe. Mshamba kwenye kila kitu rafiki yangu.. Sisi tuna ukuta mgumu kama wa Berlin.. Mwaka huu mtabaki kulialia na kung'oa viti uwanjani
 
Dadek yaan kwa ushind huu wa jion kila cku mnawaza na kuchukua ndoo mapema? Kwel nyie ni utopolo haswaa.

Na nikwambie tu simba safar hii hapotez hata mechi moja ,save hii comment ,na nyie utopolo mtapoteza mechi moja tu basi huo ndio utakuwa mwisho wenu maana Simba akikaa kilelen yanga kumtoa Simba pale sahau na hata tukijafanana points jua imekula kwenu jumla maana tuna mvua ya magoli huku nyie mkiwa na matone ya magoli na hilo linakuja muda si mrefu .

Kufikia Christmas Simba itakuwa kileleni kabisa na hakuna simbilisi wa kumtoa hapo had lig inamaoizika
Ila Mkuu, ingizo la Said Ntibatokiza litaleta balaa kwenye msimamo wa vpl, maana jamaa ni balaa anajua kujiweka kwenye nafasi ya kufunga.
 
Dadek yaan kwa ushind huu wa jion kila cku mnawaza na kuchukua ndoo mapema? Kwel nyie ni utopolo haswaa.

Na nikwambie tu simba safar hii hapotez hata mechi moja ,save hii comment ,na nyie utopolo mtapoteza mechi moja tu basi huo ndio utakuwa mwisho wenu maana Simba akikaa kilelen yanga kumtoa Simba pale sahau na hata tukijafanana points jua imekula kwenu jumla maana tuna mvua ya magoli huku nyie mkiwa na matone ya magoli na hilo linakuja muda si mrefu .

Kufikia Christmas Simba itakuwa kileleni kabisa na hakuna simbilisi wa kumtoa hapo had lig inamaoizika
Simba tayari ameshapoteza Michezo 2. Kati ya Prisons na Simba (1-0) na Simba na Ruvu Shooting (0-1). Labda useme hapotezi tena mechi ingine.
 
Back
Top Bottom