Dadek yaan kwa ushind huu wa jion kila cku mnawaza na kuchukua ndoo mapema? Kwel nyie ni utopolo haswaa.
Na nikwambie tu simba safar hii hapotez hata mechi moja ,save hii comment ,na nyie utopolo mtapoteza mechi moja tu basi huo ndio utakuwa mwisho wenu maana Simba akikaa kilelen yanga kumtoa Simba pale sahau na hata tukijafanana points jua imekula kwenu jumla maana tuna mvua ya magoli huku nyie mkiwa na matone ya magoli na hilo linakuja muda si mrefu .
Kufikia Christmas Simba itakuwa kileleni kabisa na hakuna simbilisi wa kumtoa hapo had lig inamaoizika