Yanga kuipoteza zaidi Simba leo

Yanga kuipoteza zaidi Simba leo

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika ligi ya mabingwa Africa.
 
Timu ya wananchi tuko vizuri sana. Leo tena tunaenda kuchukua pointi 3.
 
Uzi tayar hapo [emoji20][emoji20][emoji20] haya endelea kuota
 
Kabumbu la kututoa machozi hatulitaki na tuliishachoka kuwakilisha tunataka ushindi
Manara anasema tulipiee visimbusiii yeye si balozi wa azam😂😂😂
 
Mnajisifu kuizidi Simba points wakati mnajua mnaizidi idadi ya mechi? Subiri warudi wale hivyo viporo vyao ndio muongee
Viporo !watakuta wenzao wameishamaliza wali subirini
 
By the way kuongoza ligi sio kuchukua kombe. Ligi bado mbichi sana hii
 
Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia kushuka dimbani nchini Nigeria na kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao dhidi ya wapinzani wao Plateau katika ligi ya mabingwa Africa.
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Wakimataifa kesho wanaua 3 wamatopeni wanaongoza mnyama akiwa hayupo
 
Back
Top Bottom