Yanga kuizidi Simba points za CAF

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
π—§π—¨π—¦π—œπ—•π—œπ—₯π—œ

Kumbe Makolo wanaumia hivyo kisa Young Africans Sports Club kama tu kesho akitinga makundi CAF CHAMPIONS LEAGUE.Anyway Yanga amefuzu mara moja tu Makundi Ligi ya Mabingwa na amecheza Fainali moja tu CAF CONFEDERATION CUP.

Ndani ya miaka 2 tu.Ila Kesho atakuwa juu kwenye Rank za CAF dhidi ya waliocheza robo fainali 5 Kibonde wa Yanga toka 1936.

Yanga kweli wameamua kuliteka Soka la Tanzania hadi nje ya mipaka ya Tanzania.[emoji110] Hongereni sana Wananchi wenzangu.

Operation fyeka vichaka vya makolo
 
Issue ipo hiviiii

simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
 
Kumbe mnaumia Simba anapowadi kwenye hili swala la points ila mnajifanya sizitaki mbichi hizi.

Mashabiki wa utopolo utawasikia "rank haichezi mechi" "muwe wa 7 mtajua wenyewe,sisi hatujali na rank zenu za mchongo"

Leo "BREAKING NEWS:YANGA KUIPITA SIMBA BLA BLA BLA.."
 
Issue ipo hiviiii

simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Kama hujui kitu nyamaza we nanga ,nani alikwambia kuingia makundi ccl ni point 10
 
Unateseka ukiwa wapi?
Vichaka vyote mlivyokuwa mnavitumia kujifichia vinavyekwa;
1. Mlisema kombe la luzaaaaa... Leo mpo wapi?
2. Mlisema nyie ni wa kimataifa, leo hadi coast na Azam nao ni wa kimataifa.
3. Na sasa kichaka cha rank kipo mbioni kufyekwa

NB: Kipimo cha kombe la luzaa kwa taifa hili la Tanzania ni kufika fainali. Kesho tutawaona..!!
 
Nan aliwatuma kucheza kombe la wamama
 
Issue ipo hiviiii

simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Bold kombe la wamamaπŸ˜€
 
Hawatoboi hawa kenge
 
Issue ipo hiviiii

simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Wakati mwingine, muwe na aibu japo kidogo, na muwe na heshima. Kazi kusifia vyenu, hata vinukavyo harufu mbaya!
Wewe umekuwa bingwa mara 30. Mwenzio mara 22. Wewe umeshiriki ligi ya mabingwa mara nyingi, kuliko mwenzio, tena tukiwakilishwa na timu moja. Mwenzio kaingia makundi mara nyingi kuliko wewe!
Kwa idadi ya ubingwa wako wa hapa Tanzania, na idadi ya uwakilishi wako wa kwenye mashindano hayo, ulitakiwa kwa sasa, pointi zako uwe umekaribiana na Al Ahly huko!
Cha kuchekesha, unamcheka uliyemzidi umri, na amekuzidi mali, kuwa unakaribia kumzidi!
Hamnazo kweli!
 
Issue ipo hiviiii

simba ana point 28. Yanga ana point 24. Yanga akiingia makundi kesho anapata point 10 jumla anakua na 34. Simba akifuzu na yeye kombe la looser ( wamama) anapata point 2.5 so anakua na point 30.5 so yanga anakua juu ya simba
Point inatolewa baada ya kutamatika hatua ya makundi
Klabu bingwa
Timu zitakazofuzu kwenda robo fainali zinapata point 3x5=15
Timu itakayoshika nafasi ya tatu inapata point 2x5= 10
Timu itakayoshika nafasi ya mwisho kwenye kundi inapata point 1x5=5

Shirikisho
Timu zinazofuzu robo point 2x5=10
Nafasi ya tatu point 1x5= 5
Nafasi ya mwisho kwenye kundi point 0.5x5=2.5

Hizo zako umepiga kwa assumption ya timu moja kuwa ya tatu mwingine nafasi 4 ila yote kwa yote ili Simba aizidi Yanga kama zote zitaingia makundi, inatakiwa iiache Yanga kwa hatua moja au zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…