Yanga kuja na khanga ya 5,mashabiki wake kuvaa khanga ili kusherehekea ushindi

Yanga kuja na khanga ya 5,mashabiki wake kuvaa khanga ili kusherehekea ushindi

Mnyonge akimpatia mwenye nguvu tabu kweli..ila hatushangai kwasababu washabiki wengi wa yanga ni wanawake,hii ni kwamujibu wa tafiti...inamaaana hata wanaume wengi wa yanga wanaelements za kike.
Image mpaka huyo kiongozi wao anayeitwa engineer wa umbe amepeleka umbea southafrika
tuseme yote tujifurahishe ila hakuna mnyongee kwenye 5
 
Back
Top Bottom