Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
tuseme yote tujifurahishe ila hakuna mnyongee kwenye 5Mnyonge akimpatia mwenye nguvu tabu kweli..ila hatushangai kwasababu washabiki wengi wa yanga ni wanawake,hii ni kwamujibu wa tafiti...inamaaana hata wanaume wengi wa yanga wanaelements za kike.
Image mpaka huyo kiongozi wao anayeitwa engineer wa umbe amepeleka umbea southafrika