Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United

Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao

Nawatakieni Dominica Njema 😀

Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
 
Hivi mbona kila mara kauli ni hiyo ya kuomba eneo...
 
Kigamboni utafanyika uwekezaji
Mimi nijuavyo serikali inwalipa fidia waliopo kandokando ya Mto msimbazi ili kuweka mradi wa maendeleo kulingana na plan iliyopo. Kwa hiyo hao Yanga badala ya kuomba eneo ili wajenge uwanja, wanatakiwa wafuatilie fidia yao ya kubomolewa ghorofa
 
Watapewa wajenge Mji wa Michezo kwa mkopo wa World Bank

Mipango ilianzaga kitambo 😂😂
 
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United

Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao

Nawatakieni Dominica Njema 😀

Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
Siyo kuwa wameomba, bali waliomba siku nyingi sana kuanzia siku ile ya dinner ya Ikulu.

Leo hii waziri kathibitisha rasmi kuwa serikali imewaruhusu Yanga kujenga uwanja huo lakini kwa masharti mawili (a) Ujenzi uwe wa kisasa ulingane na malengo ya mpango wa world bank, (b) Ujenzi ukamilike on time.
 
Haya wale waliokuwa wananikejeli nilipokuwa nahoji kuhusu huu mradi hewa mpo wapi? Mpaka leo ni maombi ya eneo wakati tuliambiwa ujenzi ungeanza toka mwezi uliopita.
 
Vipi mmeshapata kumjua mbaya wenu anayeikwamisha Simba ni nani? Nenda ukazime moto huko unaowaka Msimbazi huku kwa Jangwani hakutakusaidia kitu.
 
Mo ameweka wapi ile bilioni 20?
 
Haya wale waliokuwa wananikejeli nilipokuwa nahoji kuhusu huu mradi hewa mpo wapi? Mpaka leo ni maombi ya eneo wakati tuliambiwa ujenzi ungeanza toka mwezi uliopita.
Walikua wanasubiri Ruksa toka serikalin na leo Wazir Mchengelwa katoa Go ahead kwa masharti watakayopewa kitulize kipapa soon utaanza kuona mradi unaanza.
 
Akili hizi zinatofauti na zile zilizotumika kujenga stand/ofisi za mwendokasi mtoni??
 
Vipi mmeshapata kumjua mbaya wenu anayeikwamisha Simba ni nani? Nenda ukazime moto huko unaowaka Msimbazi huku kwa Jangwani hakutakusaidia kitu.
Walikua wanasubiri Ruksa toka serikalin na leo Wazir Mchengelwa katoa Go ahead kwa masharti watakayopewa kitulize kipapa soon utaanza kuona mradi unaanza.
Nawakumbusha tu si kwa ubaya maana kila hizi taarifa zikija mlishaanza kuwa mnanitag ili kunizodoa kumbe bado mnaombaomba eneo.

Werevu tulishawaambia hakuna uwanja utajengwa paleee. Leo mnaanza kujiaminisha World Bank watawapa mkopo, umeshasikia wapi WB wanatoa mikopo kwa taasisi binafsi achilia mbali zisizo na kichwa wala mguu kama Deportivo de Utopolo?
 
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United

Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao

Nawatakieni Dominica Njema 😀

Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
Hilo ombi siyo mara ya kwanza kulisikia
 
Back
Top Bottom