Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
😃😃 uwanja kwa hivi vilabu viwili haita kaa itokee. Kinachoendelea ni drama tu, mwakani tena watakizungumzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah....Siyo kuwa wameomba, bali waliomba siku nyingi sana kuanzia siku ile ya dinner ya Ikulu.
Leo hii waziri kathibitisha rasmi kuwa serikali imewaruhusu Yanga kujenga uwanja huo lakini kwa masharti mawili (a) Ujenzi uwe wa kisasa ulingane na malengo ya mpango wa world bank, (b) Ujenzi ukamilike on time.