"Hata hivyo, wazee itabidi twitane haraka sana. Unajua, tutatoa siku mbili au tatu kwa vijana. Kila yule anayejijua kwamba yeye alikwenda pale na akaacha kinyesi, aende akatoe kinyesi hicho.
Na kama hakutoa hicho kinyesi, tutakwenda kukitoa sisi. Sisi kwa mikono yetu tutakwenda tutakitoa hicho...
Wana Yanga SC wenzangu naamini Uwanja wetu tulioahidiwa na Rais wetu mpendwa Injinia Hersi Said umeshaanza kujengwa na karibuni utazinduliwa?
Pia soma Juni 6, 2022 Injinia Hersi Said aliahidi atajenga Uwanja wa Yanga ndani ya miaka minne ya Uongozi wake
ONYO
Kama unajijua kabisa huuwezi Utani...
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.
2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.
3. Haya ni mawazo yangu, mawazo...
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira
Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited
Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao
Nawatakieni Dominica Njema 😀
Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.