Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Protect

Senior Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
123
Reaction score
436
Screenshot_20260515_160338_Instagram.jpg

Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira

Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited

Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela

Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho

Screenshot_20260515_160513_Instagram.jpg
 
hiyo ndio mipango madhubuti sasa ya kuchochea mageuzi katika mpira wa miguu Tanzania.

Well done YANGA Africa well done GSM 🐒
 
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira

Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited

Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela

Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho

View attachment 3589197
Ule uwanja wa kwenye laptop
 
Ukiwa na connection mjini raha sana. GSM kajipatia ardhi ya kujenga magorofa yake bila jasho kubwa. Huo uwanja wa kunda utazungukwa na vitega uchuki vya jiiessiemuu then katikati itaachwa nafasi Kwa ajili ya uwanja wa mazoezi.
 
Haya masiasa ya simba ya yanga kama nchi yametucost sana , ni vile tu !!! Nishaacha kabisa kuyafutilia.....

Ligi za mbele huko sawa, tatizo mpira wetu umeingiliwa
 
Ukiwa na connection mjini raha sana. GSM kajipatia ardhi ya kujenga magorofa yake bila jasho kubwa. Huo uwanja wa kunda utazungukwa na vitega uchuki vya jiiessiemuu then katikati itaachwa nafasi Kwa ajili ya uwanja wa mazoezi.
Mjini Mipango,jamaa wanafika walipotaka
 
Back
Top Bottom