Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Uwanja wa kwenye Laptop. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo wanalamika picha za ramani ya uwanja ni AI, hawajui dunia inahamia kwenye hiyo tekinolojia kurahisisha mambo🤣 😕
 
View attachment 3589199

Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira

Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited

Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela

Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho

View attachment 3589197
Kanjanja yanga asilimia 50 GSM asilimia 50 hakuna kikomo cha muda inamaana GSM kama kampuni itanufaika milele hadi mwisho wa Dunia.
Huu mkataba una tofauti gani na ule wa chifu Mangungo wa Msovelo?
 
Gharib amesaini mkataba kwa upande wa GSM na Hersi amesaini kwa upande wa Yanga. Lakini Hersi ni mwajiriwa wa GSM. Kwa mujibu wa syllogism theory, huu mkataba umesainiwa na kampuni ya GSM pekee. Mark this post
Mweyekiti ni taasisi sio mtu tulia kijana
 
Kanjanja yanga asilimia 50 GSM asilimia 50 hakuna kikomo cha muda inamaana GSM kama kampuni itanufaika milele hadi mwisho wa Dunia.
Huu mkataba una tofauti gani na ule wa chifu Mangungo wa Msovelo?
Yanga tutawalisha watoto, wajukuu, vitukuu... Vya GSM hadi mwisho wa dunia
 
Ila hawa majamaa kila wakiona mambo kwa Timu ya Wananchi yanataka kwenda kombo basi wanatuletea hizi porojo. Lol.

Ngoja tuone mana wametuahidi muda mrefu sana
 
Mlokueko dar vipi ujenzi ushaanza?
 
Ila hawa majamaa kila wakiona mambo kwa Timu ya Wananchi yanataka kwenda kombo basi wanatuletea hizi porojo. Lol.

Ngoja tuone mana wametuahidi muda mrefu sana
Mtanii umesanuka mapema sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom