Uwanja wa Yanga: TEAM 26% GSM 50% Wawekezaji 24%. Uhalisia upo hivyo kimahesabu

don-mike

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
753
Reaction score
1,506
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.

2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.

3. Haya ni mawazo yangu, mawazo huru kuhusu structure ya umiliki wa uwanja:
Yanga Team/Club: 50%
Mwekezaji: 50%

Katika hatua hii umiliki upo hivi.
Sasa tuingie ndani chumbani, Je ni nani anamiliki Yanga Team/Club ambayo hapa inamiliki 50% ya Uwanja.
Wananchi 51%
Wawekezaji 49%

Wawekezaji hawa wanatakiwa kuwa wa3 na sio mmoja kama mapendekezo ya mabadiriko yalivyo, kwa hali ilivyo GSM anaweza tena akamiliki 40% au zaidi kwenye upande wa ununuzi wa hisa za team. Hivyo kumfanya kumiliki zaidi ya 50% ya uwanja anayomiliki sasa.

USHAURI WANGU:
Umiliki wa 49% za team utupwe kwenye soko la hisa. Thamani ya club iamuliwe na mwenendo wake kwenye soko la hisa kama ilivyokuwa kwa kampuni nyingine kama CRDB, NMB, n.k

Soma Pia: Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Inamaana hata kama GSM atamiliki 10% ya Team, ila atamiliki 10% yenya thamani kubwa. Kama leo thamani ya Team ni 100Bil, basi hisa za 49bil zidondoshwe kwenye soko la hisa. Hata GSM anunue hisa huko.
 
Team ikianza kuendeshwa kwenye soko la hisa, itabidi MSAHAHAU MAKOMBE.

Maana watakuwa wanatafuta wachezaji wa bei ndogo, hakuna bonus ili TEAM ipate faida wanahisa walipwe GAWIO mwisho wa mwaka.
 
Imagine Team ikusanye 49bil kwenye soko la hisa, tayari ina uwanja, hivyo hiyo 49bil yote inaenda endeleza team, huoni kwamba team itakuwa na budget ya kutosha ya kuleta A-list players wa Africa.
 
Unajua soko la hisa linavyofanya kazi?

Pesa.walizpkusanya Vodacom baada ya kujiandikisha soko la hisa ziko wapi, maana wanahisa hawapewi gawio???

Kwanini Yanga wanakataa wakati mwingine kuuza wachezaji?

Unadhani, kukiwa na wanahisa, watakaa kuuza wachezaji ili team ipate faida ya kutoa gawio kwa wanahisa?

Ukishaanza akuuza wacjezaji wazuri, hayo makombe utakuwa unapewa mezani??
 
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.

2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.

3. Haya ni mawazo yangu, mawazo huru kuhusu structure ya umiliki wa uwanja:
Yanga Team/Club: 50%
Mwekezaji: 50%

Katika hatua hii umiliki upo hivi.
Sasa tuingie ndani chumbani, Je ni nani anamiliki Yanga Team/Club ambayo hapa inamiliki 50% ya Uwanja.
Wananchi 51%
Wawekezaji 49%

Wawekezaji hawa wanatakiwa kuwa wa3 na sio mmoja kama mapendekezo ya mabadiriko yalivyo, kwa hali ilivyo GSM anaweza tena akamiliki 40% au zaidi kwenye upande wa ununuzi wa hisa za team. Hivyo kumfanya kumiliki zaidi ya 50% ya uwanja anayomiliki sasa.

USHAURI WANGU:
Umiliki wa 49% za team utupwe kwenye soko la hisa. Thamani ya club iamuliwe na mwenendo wake kwenye soko la hisa kama ilivyokuwa kwa kampuni nyingine kama CRDB, NMB, n.k

Soma Pia: Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Inamaana hata kama GSM atamiliki 10% ya Team, ila atamiliki 10% yenya thamani kubwa. Kama leo thamani ya Team ni 100Bil, basi hisa za 49bil zidondoshwe kwenye soko la hisa. Hata GSM anunue hisa huko.
Huo mkataba ni wa miaka mingapi?
 
Imagine Team ikusanye 49bil kwenye soko la hisa, tayari ina uwanja, hivyo hiyo 49bil yote inaenda endeleza team, huoni kwamba team itakuwa na budget ya kutosha ya kuleta A-list players wa Africa.
Ki vipi team ya TANZANIA iweze ku generate 49 billions ni impossible
 
Anachofanya gsm yanga hakina tofauri na anachofanya mo Simba.
Afadhali katiba mpya ya Simba imetamka uwanja wa bunju na jengo la msimbazi ni mali ya klabu.
Hivi vilabu vilitakiwa vikamilishe michakato ya kupata wawekezahi wasiopungua 3 ndio waanze mchakato wa ujenzi wa uwanja lakini gsm anajua wakija wawekezaji wengine mambo ya kuuza jezi na kuwapa yanga 1700 itakuwa mwisho kama mo anavyoogopa wawekezaji wengine.
 
Kabisa....GSM anajua ukikamilika mchakato wa transformation, hawezi pata % kubwa kwenye uwanja.

Pia uwanja kujengwa Jangwani ni tofauti na Bunju, Mbagala au Kigamboni.

Nadhani mashabiki wa kwenda viwanjani, Kiwanja kitakuwa karibu yao.
 
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.

2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.

3. Haya ni mawazo yangu, mawazo huru kuhusu structure ya umiliki wa uwanja:
Yanga Team/Club: 50%
Mwekezaji: 50%

Katika hatua hii umiliki upo hivi.
Sasa tuingie ndani chumbani, Je ni nani anamiliki Yanga Team/Club ambayo hapa inamiliki 50% ya Uwanja.
Wananchi 51%
Wawekezaji 49%

Wawekezaji hawa wanatakiwa kuwa wa3 na sio mmoja kama mapendekezo ya mabadiriko yalivyo, kwa hali ilivyo GSM anaweza tena akamiliki 40% au zaidi kwenye upande wa ununuzi wa hisa za team. Hivyo kumfanya kumiliki zaidi ya 50% ya uwanja anayomiliki sasa.

USHAURI WANGU:
Umiliki wa 49% za team utupwe kwenye soko la hisa. Thamani ya club iamuliwe na mwenendo wake kwenye soko la hisa kama ilivyokuwa kwa kampuni nyingine kama CRDB, NMB, n.k

Soma Pia: Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Inamaana hata kama GSM atamiliki 10% ya Team, ila atamiliki 10% yenya thamani kubwa. Kama leo thamani ya Team ni 100Bil, basi hisa za 49bil zidondoshwe kwenye soko la hisa. Hata GSM anunue hisa huko.
Ifike wakati timu kubwa inayojisifu kuwa na rekodi nzuri za kimataifa ingawa haijawahi kutwaa kikombe chochote kile kwenye michuano ya CAF, inapokosa strategic plan ya kumiliki uwanja wao wenyewe wenye hadhi ya kimataifa, ni vyema ingalifutiwa usajili wake na serikali mpake pale watakapo jipanga tena upya.

Je! Kuna sababu gani ya kuwa na timu ambayo inaikimbiza mechi maarufu Afrika ya derby kwenda kwenye kiwanja kilichojaa maji, ili tu waweze kufanya ushirikina katika vyumba vya ndani vya uwanja ili tu ipate kumshinda mtani wake wa jadi kwa hila wala si kwa maarifa na ufundi?

Jiwe limetupwa gizani, povu likitoka ujuwe limepata mtu.

Heri mimi sijasema wala kuitaja timu yeyote Ile.
 
Umesahau kama Uto ilifungwa kwenye uwanja wake pendwa wa ulozi kule Zanzibar ,Azam Complex mlihama wenyewe , Kwa Mkapa huwa mna pita mageti yasiyo rasmi au mlitaka uwanja ule wa dodoma jiji? Halafu kama una akili timamu usiwaamini sana wanauto wenzako maana miaka ya 2000 sisi wakongwe tushaona uto ikidump kifusi pale kaunda ikiwaaminisha wana uto wenzao kuwa washaanza ujenzi wa uwanja.
 
Hayo mambo yanwahusu wanachama, shabiki kazi yake kishangilia na kuzomea tu.
 
Back
Top Bottom