DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Ikumbukwe, Klabu ya Yanga inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu ujao siku chache zijazo ndani ya Mwaka huu 2026.
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000.
Ikumbukwe, Klabu ya Yanga inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu ujao siku chache zijazo ndani ya Mwaka huu 2026.
Wanakoseaga tu kuweka muda wa utekelezaji - eti nitajenga uwanja ndani ya miaka 4, lakini kiukweli ujenzi wa uwanja wa mpira sio issue ya mazingaombwe.Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000.
Ikumbukwe, Klabu ya Yanga inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu ujao siku chache zijazo ndani ya Mwaka huu 2026.