johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kumbe bado hawajapewa? Si wakajenge Kigamboni kile kiwanja walichopewa na Makonda?Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Kigamboni utafanyika uwekezajiKumbe bado hawajapewa? Si wakajenge Kigamboni kile kiwanja walichopewa na Makonda?
Mimi nijuavyo serikali inwalipa fidia waliopo kandokando ya Mto msimbazi ili kuweka mradi wa maendeleo kulingana na plan iliyopo. Kwa hiyo hao Yanga badala ya kuomba eneo ili wajenge uwanja, wanatakiwa wafuatilie fidia yao ya kubomolewa ghorofaKigamboni utafanyika uwekezaji
Watapewa wajenge Mji wa Michezo kwa mkopo wa World BankMimi nijuavyo serikali inwalipa fidia waliopo kandokando ya Mto msimbazi ili kuweka mradi wa maendeleo kulingana na plan iliyopo. Kwa hiyo hao Yanga badala ya kuomba eneo ili wajenge uwanja, wanatakiwa wafuatilie fidia yao ya kubomolewa ghorofa
Siyo kuwa wameomba, bali waliomba siku nyingi sana kuanzia siku ile ya dinner ya Ikulu.Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao
Nawatakieni Dominica Njema π
Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
Toka anyimwe bodaboda amekuwa na chuki sanaKwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
Vipi mmeshapata kumjua mbaya wenu anayeikwamisha Simba ni nani? Nenda ukazime moto huko unaowaka Msimbazi huku kwa Jangwani hakutakusaidia kitu.Haya wale waliokuwa wananikejeli nilipokuwa nahoji kuhusu huu mradi hewa mpo wapi? Mpaka leo ni maombi ya eneo wakati tuliambiwa ujenzi ungeanza toka mwezi uliopita.
Mo ameweka wapi ile bilioni 20?Haya wale waliokuwa wananikejeli nilipokuwa nahoji kuhusu huu mradi hewa mpo wapi? Mpaka leo ni maombi ya eneo wakati tuliambiwa ujenzi ungeanza toka mwezi uliopita.
Walikua wanasubiri Ruksa toka serikalin na leo Wazir Mchengelwa katoa Go ahead kwa masharti watakayopewa kitulize kipapa soon utaanza kuona mradi unaanza.Haya wale waliokuwa wananikejeli nilipokuwa nahoji kuhusu huu mradi hewa mpo wapi? Mpaka leo ni maombi ya eneo wakati tuliambiwa ujenzi ungeanza toka mwezi uliopita.
ππππJohn una kaufalaKwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
ππππππππJohn una kaufala
Vipi mmeshapata kumjua mbaya wenu anayeikwamisha Simba ni nani? Nenda ukazime moto huko unaowaka Msimbazi huku kwa Jangwani hakutakusaidia kitu.
Nawakumbusha tu si kwa ubaya maana kila hizi taarifa zikija mlishaanza kuwa mnanitag ili kunizodoa kumbe bado mnaombaomba eneo.Walikua wanasubiri Ruksa toka serikalin na leo Wazir Mchengelwa katoa Go ahead kwa masharti watakayopewa kitulize kipapa soon utaanza kuona mradi unaanza.
Hilo ombi siyo mara ya kwanza kulisikiaWananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United
Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao
Nawatakieni Dominica Njema π
Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku