Siyo kuwa wameomba, bali waliomba siku nyingi sana kuanzia siku ile ya dinner ya Ikulu.
Leo hii waziri kathibitisha rasmi kuwa serikali imewaruhusu Yanga kujenga uwanja huo lakini kwa masharti mawili (a) Ujenzi uwe wa kisasa ulingane na malengo ya mpango wa world bank, (b) Ujenzi ukamilike on time.