Yanga kukata rufaa dhidi ya adhabu ya Dr Aucho

Yanga kukata rufaa dhidi ya adhabu ya Dr Aucho

Sijawahi kuwa Adimu kuna muda nakua busy na shughuli zangu...sio ww 24/7 upo jukwaani [emoji1787] [emoji196] [emoji196]
Nakuonea huruma na litimu lako la pressure daily [emoji23]
 
Kosa moja halihalalishi jingine. Kutomfungia wa kwanza lilikuwa kosa pia. Pengine kaadhibiwa kwa kuwa karudia kosa
Kwani hukumu imesema kwa kurudia kosa au kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji Coast
 
Mwaka Jana Bangala alichezewa rafu ya red card na mchezaji wa Coast akapewa yellow Wala hakuadhibiwa na kamati why wachezaji wa Yanga wapewe double punishment? Mbumbumbu mwenzenu karia ashike adabu yake mbwa huyo
Kenge maji arudi kwa Somalia tumemchoka hata aibu hana bata wahed
 
Jionee huruma ww na wafuasi wenzako wala mihogo...presha humpata anaetaka presha impate...
Unapitia kipindi kugumu sana mkuu....

Ila yatapita ...ingawa 5...1 ni kubwa[emoji29]
 
Unapitia kipindi kugumu sana mkuu....

Ila yatapita ...ingawa 5...1 ni kubwa[emoji29]
Usilazimishe basi...au mmeona tumeyadharau mabango yenu hayajatushtua mnataka kufosi...yani niumie leo trh 20...hamko serious aisee..nyie ni malimbukeni..
 
Back
Top Bottom