Yanga hawawezi kukata rufaa hilo ni tamko tu kuwaridhisha mashabiki kiuhalisia yanga na morison hawakuwa na mkataba bali walikuwa na makubaliano tu.Nadhani nikisema haya wanasheria mtakuwa mmenielewa vyema.
Ila nyie mlioitwa uneducated, manyani mnabweka kama mbwa ndio mko sahihiTatizo la mashabiki kila mtu anajua sheria pamoja na kwamba hana hata cheti cha sheria mtu anajiropokea eti Yanga wameghushi ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu maana mnajisemea tu
Mbumbumbu na NYANI?Tatizo la mashabiki kila mtu anajua sheria pamoja na kwamba hana hata cheti cha sheria mtu anajiropokea eti Yanga wameghushi ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu maana mnajisemea tu
Tatizo la mashabiki kila mtu anajua sheria pamoja na kwamba hana hata cheti cha sheria mtu anajiropokea eti Yanga wameghushi ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu maana mnajisemea tu
Ya ukwaju wa MOHio ni rufaa ya Yanga au GSM?
Kwani Africa hakuna mchezaji mwingine zaidi ya huyo Morrison? Kwanini Yanga wasiachane nae huyo mchezaji tu. Mchezaji kaishaonesha haitaki Yanga sasa yanini kumng'ang'ania?
mashabiki waliotajwa manyani, wanabweka kama mbwa tena uneducated ni nyie hapo lakini kwa sababu ni uneducated mnaleta hili jambo kama la kitaifa ila kqdri siku zinavyoenda ndivyo inadhiilisha jamaa alikuwa sahihiUneducated ni pamoja na simba mtu anakutukata uafrika wako you cant isolate kuwa wewe haupo ni pamoja na wewe yule kocha aliwatukana watanzania na ndio maana alifukuzwa na kupigwa faini na chombo kikuu kinachoiwakilisha serikali mikia ni mikia tu hakuna jina jingine zaidi ya hili
Uneducated ni pamoja na simba mtu anakutukata uafrika wako you cant isolate kuwa wewe haupo ni pamoja na wewe yule kocha aliwatukana watanzania na ndio maana alifukuzwa na kupigwa faini na chombo kikuu kinachoiwakilisha serikali mikia ni mikia tu hakuna jina jingine zaidi ya hili
Hilo linyani, uneducated linalobweka kama mbwa hata ulielewesheje halielewiWacha kutafuta kichaka cha kujificha! Eymael kawataja kwa Jina "Mashabiki wa Yanga ni Uneducated, Wanapiga zogo kama Manyani na Wanabweka kama Mambwa".
Usitafute Visingizio kuwa kautukana Uafrika!
UNEDUCATED and MONKEYS
View attachment 1537192