Yanga kukata Rufaa Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) juu ya Bernard Morrison

Ukitaka kujua gsm anawafanya yanga manyani na mambwa atasajili wachezaji kumi wa kigeni halafu atajidai anamkatia rufaa mchezaji wa kumi na mija ambaye ni Morison
 
Tatizo la mashabiki kila mtu anajua sheria pamoja na kwamba hana hata cheti cha sheria mtu anajiropokea eti Yanga wameghushi ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu maana mnajisemea tu
 
Ila nyie mlioitwa uneducated, manyani mnabweka kama mbwa ndio mko sahihi
 
Tatizo la mashabiki kila mtu anajua sheria pamoja na kwamba hana hata cheti cha sheria mtu anajiropokea eti Yanga wameghushi ndio maana Rage aliwaita mbumbumbu maana mnajisemea tu

Rage alituita 'Mbumbumbu'! Ivi Eymael alipowaita 'UNEDUCATED' alimaanisha nini?

Enewey! Rufaa yenu huko CAS inasikilizwa lini?
 
Uneducated ni pamoja na simba mtu anakutukata uafrika wako you cant isolate kuwa wewe haupo ni pamoja na wewe yule kocha aliwatukana watanzania na ndio maana alifukuzwa na kupigwa faini na chombo kikuu kinachoiwakilisha serikali mikia ni mikia tu hakuna jina jingine zaidi ya hili
 
Ukishinda kesi dhidi ya mchezaji wa namna hii dawa yake ni kusugua benchi.
Kwani Africa hakuna mchezaji mwingine zaidi ya huyo Morrison? Kwanini Yanga wasiachane nae huyo mchezaji tu. Mchezaji kaishaonesha haitaki Yanga sasa yanini kumng'ang'ania?
 
Uneducated ni pamoja na simba mtu anakutukata uafrika wako you cant isolate kuwa wewe haupo ni pamoja na wewe yule kocha aliwatukana watanzania na ndio maana alifukuzwa na kupigwa faini na chombo kikuu kinachoiwakilisha serikali mikia ni mikia tu hakuna jina jingine zaidi ya hili
mashabiki waliotajwa manyani, wanabweka kama mbwa tena uneducated ni nyie hapo lakini kwa sababu ni uneducated mnaleta hili jambo kama la kitaifa ila kqdri siku zinavyoenda ndivyo inadhiilisha jamaa alikuwa sahihi
 
Uneducated ni pamoja na simba mtu anakutukata uafrika wako you cant isolate kuwa wewe haupo ni pamoja na wewe yule kocha aliwatukana watanzania na ndio maana alifukuzwa na kupigwa faini na chombo kikuu kinachoiwakilisha serikali mikia ni mikia tu hakuna jina jingine zaidi ya hili

Wacha kutafuta kichaka cha kujificha! Eymael kawataja kwa Jina "Mashabiki wa Yanga ni Uneducated, Wanapiga zogo kama Manyani na Wanabweka kama Mambwa".

Usitafute Visingizio kuwa kautukana Uafrika!

UNEDUCATED and MONKEYS

NDALA LOGO.jpg
 
Kocha mliyemfukuza aliwaambia nini viongozi wa simba si aliwaambia ni uneducated halafu Rage aluwaambia nini ninyi si aliwaambia ninyi ni mbumbumbu na mbumbumbu ni mtu wa aina gani ujuaji hausaidii
 
Wacha kutafuta kichaka cha kujificha! Eymael kawataja kwa Jina "Mashabiki wa Yanga ni Uneducated, Wanapiga zogo kama Manyani na Wanabweka kama Mambwa".

Usitafute Visingizio kuwa kautukana Uafrika!

UNEDUCATED and MONKEYS

View attachment 1537192
Hilo linyani, uneducated linalobweka kama mbwa hata ulielewesheje halielewi
 
Back
Top Bottom