Utani huo hawakupata hata moja utopoloHivi mechi ya simba hao utopolo walipiga ontarget ngapi?
Kwahiyo na Simba ilipewa bahasha na mbeya city, kagera?Wajinga mashabiki wa utopolo na viongozi wao.
Wanahonga ili washinde mechi halafu wanajidanganya timu nzuri.
Haya sasa timu zinaogopa kushuka daraja,bahasha imekataliwa mnasingizia uchawi wakati ninyi ndio mliochimbia hirizi wazi wazi uwanjani
Pale south afrika mlifanya nini uwanjani kabla ya mechi?Ivi mpaka leo Utopolo mnaamini uchawi, km ni ivo kwa nini mtumie bajeti kubwa ya usajili wa wachezaji, si mngesajili wachawi tu!!!
Ivi sumbawanga hawapendi soka?!!