Yanga Kukosa Magoli Ushirikina Unatumika

Yanga Kukosa Magoli Ushirikina Unatumika

Wajinga mashabiki wa utopolo na viongozi wao.
Wanahonga ili washinde mechi halafu wanajidanganya timu nzuri.
Haya sasa timu zinaogopa kushuka daraja,bahasha imekataliwa mnasingizia uchawi wakati ninyi ndio mliochimbia hirizi wazi wazi uwanjani
Kwahiyo na Simba ilipewa bahasha na mbeya city, kagera?
 
Wananchiii…kama kuna shabiki wa Yanga anataka kujisajili aje PM. Kuna njia rahisi ya kujaza fomu online.
 
Ivi mpaka leo Utopolo mnaamini uchawi, km ni ivo kwa nini mtumie bajeti kubwa ya usajili wa wachezaji, si mngesajili wachawi tu!!!
Ivi sumbawanga hawapendi soka?!!
 
Ivi mpaka leo Utopolo mnaamini uchawi, km ni ivo kwa nini mtumie bajeti kubwa ya usajili wa wachezaji, si mngesajili wachawi tu!!!
Ivi sumbawanga hawapendi soka?!!
Pale south afrika mlifanya nini uwanjani kabla ya mechi?
JamiiForums1322106166.jpg
 
Back
Top Bottom