Yanga kumenyana na Rayon Sport June 15

Yanga kumenyana na Rayon Sport June 15

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,527
Reaction score
14,881
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.

Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda.

Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa kucheza mechi dhidi ya watani wao Simba mechi iliyoahirishwa Machi 8, 2025.

20250601_204138.jpg
 
Yanga inawezekana wanawazubaisha Simba wasijindae na game ili wawashtukize, au pia inawezekana wapo serious hawachezi
 
Yanga inawezekana wanawazubaisha Simba wasijindae na game ili wawashtukize, au pia inawezekana wapo serious hawachezi
Option 1 toa
Yanga hachezi hyo game
 
Back
Top Bottom