Yanga kumjibu Jemedari ni kumsaidia matibabu yake.

Kuna mahali unamkosea jemedari,hili la Singida na Yanga limeibua mengi sana na wengi wameliongelea.

Nawataja hapa chini

1.Aliekua kocha wa Singida
2.Jemedari said
.3.Nasri Halfani
4.Clouds Fm(sports extra)
6.Hans rafael

Je hao wote wanashida na Yanga Au wanatafuta mental Ventilation?

Weka ushabiki pembeni Kisha andika tena.

Binafsi nilitegemea Singida na Tabora wataleta Chamoto kwa Simba,Yanga na Azam lakini naona Singida hafiki popote kwenye Top 4
Jemedari akaandika bandiko kabisa kuhusu singida na Yanga kana kama timu yake ya JKT haifanyi rotations kwa wachexaji wao. Kocha wa singida ana chuki ya kufukuzwa, hao wengine wangependa Yanga ifungwe ili kuisaidia simba. kumebaki nini hapo tena?. Mbona Simba waliipokonya Coastal union kocha wao Mgunda kihuni kabisa hakuna aliyejadili.
 
Hakatazwi kuandika,mbona nyie na Singida mmeandika barua ndefu kumchafua kocha.
 
Hakatazwi kuandika kama sehemu ya tiba yake, lakini kosa ni Yanga kujihangaisha kumjibu mtu anaejaribu kujitibu kila anachoandika na kusema. Shida iko kwa wanaYanga na sio Jemedari.
 
Shida iko kwako,Rais wa Yanga umeona akilalamika?
Wewe na Rais wa Yanga nani anawajibika Yanga ikihujumiwa au kupoteza?

Je Hans Rafael na Nasib Halfan nae anaumwa,

Je Clouds media nao wanaumwa ?

Tangu lini kuisema au kuiandika kibaya Yanga ni tiba?
 
Nonono!! Nasil, Hans, lwambano na wengine wao ni washabiki wa Simba kindaki, hivyo wanalalamika kama washabiki wa Simba. Ila jemedari ana kitu watalaam wa magonjwa ya akili wanaita "obsession compulsion" ya kuisema Yanga katika Kila moment, na ameganda hapohapo(catatonically) Anakosoa kwa ubaya na anatafuta mabaya TU kuiumiza Yanga kama sehemu ya tiba yake. Bahati mbaya sana kwake hajui kuwa kwa kufanya hivyo Yanga inaimalika sana. Yanga inayafanyia kazi malalamiko yake ni kuongeza ubora zaidi. Hata msimu huu Yanga itakuwa bingwa Tena.
 
Back
Top Bottom