Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

Yanga kuna laana, Moringa yupo Namungo, Tshisimbi yupo Kitayose, Amis Tambwe yupo Singida united, Chirwa yupo ...

Gadiel Michael masikini aliondka yupo [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Mshahara anaopata kule Simba si haba,angebaki yanga angekuwa kitayose sasa,alifanya maamuzi sahihi
 
Mpaka makocha
SIMBA

Sven yupo
Patrick ausem yupo
Didier Gomez yupo
Masood juma yupo tz
Pablo ana ofa kibao mpaka sasa ikiwemo amazulu.

YANGA SASA
zahera yupo anagangaa njaa kabadilisha fani sio kocha tena
Kaze alienda kwao huko akakaa bila team karudi tena
Yule aliyewaita nyani kila siku anafukuzwa team.
 
Back
Top Bottom