Mpaka makocha
SIMBA
Sven yupo
Patrick ausem yupo
Didier Gomez yupo
Masood juma yupo tz
Pablo ana ofa kibao mpaka sasa ikiwemo amazulu.
YANGA SASA
zahera yupo anagangaa njaa kabadilisha fani sio kocha tena
Kaze alienda kwao huko akakaa bila team karudi tena
Yule aliyewaita nyani kila siku anafukuzwa team.