Yanga kunyimwa penalti

Yanga kunyimwa penalti

Marefa hawana namna wanaweza fanya wanafuata maelekezo waliyopewa na jamaa wa TFF.
 
Makosa ni kati ya nguzo muhimu zinazoshikilia soka, pia unaweza ukasema kati ya misingi inayoibeba soka, Makosa ni mojawapo.

Hivyo basi hilo kosa hapo siyo la kumlaumu kabisa referee, kama binaadam ni rahisi sana kwa refa kufanya maamuzi ya kimakosa katika mazingira yale.
 
Makosa ni kati ya nguzi muhimu zinazoshikilia sika, pia unaweza ukasoma kati ya misingi inayoibeba soka, Makisa ni mojawapo.
Hivyo basi hilo kosa hapo siyo la kumlaumu kabisa referee, kama binaadam ni rahisi sana kwa refa kufanya maamuzi ya kimakosa katika mazingira yale.
Braza Embu paki pembeni uandike vizuri
 
Goli la lipuli lilikuwa wazi kabisa ila mkabebwa acheni kutuzuga
 
Sasa ile imekuaje kona wakati ilitakiwa iwe free kick? Kweli mwamauzi pale alifanya makusudi kuvuruga ile penalt
 
Back
Top Bottom